Teleza na Tezza ah aha
Teleza na Tezza chui
Teleza na Tezza yes
(Vanny boy)

Vroom vroom vroom
Vroom vroom vroom

Haina wengi haina pepe
Dakika 10 dar mitese
Nduki nduki moshi cheche

Piga drift wakomeshe
Funga mkanda ndo uendeshe
Huo mziki ndo kasheshe
Tezza mnyama sio mkeweche
Hata Shell hailiwezi

Teleza na Tezza, we sikiliza wasafi
Teleza na Tezza, The switch na Real Omi
Teleza na tezza, Ray Migao yupo kati
Teleza na Tezza, shinda gari lets get on

Vroom vroom vroom
Vroom vroom vroom
Vroom vroom vroom
Vroom vroom vroom

Teleza na Tezza

Added by

Zikitu

SHARE

Your email address will not be published. Required fields are marked *