Enhe Lyrics
Zzero -Enhe
Enhe Ehee, Enhe Ehee(×2)
Rada ni safi vile naleta!
Sound clear hakuna kuteta !
Mmmmh ‘
Kumbe mnapenda vile naleta
Rada ni safi hakuna kuteta
Kejani kwa kiti last time!
Si alinikuta rasta;
Nishanukishia bwana ki ngwaka
Zilinishika fasta!
So ataniblame, rasta!
Player kwa game, master
Look ni safi Tik ya white
Ndio nimedunga sasa
Kigode kejani washa!
Kama haikubambi wacha;
Vitu zingine vako zingine
Kama ziwezi wacha
Enhe Ehee, Enhe Ehee
Enhe Ehee, Enhe Ehee
Rada ni safi vile naleta!
Sound clear hakuna kuteta!
Mmmmh!
Kumbe mnapenda vile naleta
Rada ni safi hakuna kuteta
Chini ya maji on the low!
Kamtoto kanataka doh,
Kanataka nikaleweshe!
Na bado nikapige show!
Mi sipigi show, mi sipigi show,
Kwa hii ligi si hatubahatishi
Tuko kazi ni ka tuko ofisi!
Ka ni kukula si hukula kasoo
Hatunaga haja ya ofisi’
Ka uko nayo si haitujalishi!
Bora bado si tunaishi
Mi na manigga tuko bie!
Taka ngori basi tuambie!
Sema mahali uko tukuje hadi huko
Na ukuwe na kitu kwa mfuko eeh
Mi sipigi show, mi sipigi show!
Chini ya maji on the low!
Kamtoto kanataka doh’
Kanataka nikaleweshe’
Na bado nikapige show!
Mi sipigi show, mi sipigi show
Chini ya maji on the low!
Kamtoto kanataka doh’
Kanataka nikaleweshe’
Na bado nikapige show!
Mi sipigi show, mi sipigi show
Enhe Ehee, Enhe Ehee
Enhe Ehee, Enhe Ehee
Rada ni safi vile naleta (Enhe Ehee)
Sound clear hakuna kuteta (Enhe Ehee)
Mmmmh (Enhe Ehee)
Kumbe mnapenda vile naleta (Enhe Ehee)
Rada ni safi hakuna kuteta
No comments yet