Zzero ft. Dmore

Wanatudai

Wanatudai Lyrics

Zzero,Dmore-Wanatudai

Psycho, ni Zzero
Wanauliza ka ni boy wa mayengs
Hapana zii mi hutokea tu weekend
Mos mos sinanga mbuga teren teren
Na akidai bier mpatie mjulubeng

Wanatudai, aki walai (Joo)
Wanatudai aki walai
Wanatudai dai aki walai
Wanatudai aki walaaaaiii×2
Cheki mi ntakulia kulia
Huyu dem kimapepe
Maharagwe hujakulia
Nikishuta usiseme
Mi usiniseme

Nigga kajaba kako juu si uteme
Niko Ungem na jeshi ya kata tenje
Na vile tunaichana si utadhani tuko veve wewe

Chunga morio usitekewe
Unataka kujua chunga morio usiteveve
Mi hukataga great kidi shashu nifanye ndeve
Niko juu napaa napaa ni ka mwewe

Prefect kwa daro haijaikosa kelele
Noisemaker fast jo si hukaaga mbele
All around place wanikuna kuna nywele
Tuko moja moja nikama tunahesabu mchele

Wanatudai, aki walai (Joo)
Wanatudai aki walai
Wanatudai dai aki walai
Wanatudai aki walai(×2)


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists