Shangilia Lyrics
Zuchu -Shangilia
Ayolizer
Kibe Kibe Kibee
Kibe ni mshindi mwingine Kibee
Kibe kutoka CCM chama
Sio chama kingine Kibee
Kibee Kibee Hee Kibee
Ameshinda mwingine
Kutoka chama kubwa chama
Sio chama kingine
Oooh Wazanzibar Shangilia shangilia
Hussein Mwinyi Rais Kashachangulia
Kwa hii hali yetu
Aendeleze ilani ya chama
Zanzibar yetu
Ye kaja kuinyanyua
Hussein Mwinyi
Mikono salama
Ye ataendeleza mazuri yake sheni
Utawala bora
Utawala bora uchumi na amani
Kwa bashasha
Natamka Hussein Mwinyi Rais wangu
Sijalazimishwa, sijashurutishwa
Nimemchagua kwa kura yangu
Oooh Wazanzibar
Shangilia shangilia
HNasababisha na maarif
Ni mabrenjin na mangwangi
Majaber wako ndani
Ka huna wako samahani
We unatoka area gani
Hatukujui na hatujali
Ka hazitashuka mi sidhani
Good vibes mambo shwari
Good vibes mambo shwari
Good vibes mambo shwari
Nasababisha na maarif
Ni mabrenjin na mangwangi
Good vibes mambo shwari
Good vibes mambo shwari
Majaber wako ndani
Ka huna wako samahani
Niko area za Lavi spending
Hii ni profit ya jana na juzi
Zip zero pressure tumetuliz
Sibongi mingi mi si sudi
Leta upuzi abro chwadi
Mawikendi sikosi uradi
Dry fry ni ya mbuzi
Adisia kachumbari
Vile Aisha hunipikia mahamri
Naona ni ye nitamarry
Biz kama si halali
Ndio italeta pesa na mahunnie
Lighter leta washa kibong
Papa fathela ama jacom
Hii ni spectacular form
Silali hoi no more
Wera yangu ilianza ka hobby
Usiwahi ngoja white collar
Mandege ndo ndula za mbogi
Zimemeremeta kwa solar
Kwa grao bado mi ndo mbombi
Man badder than Ebola
Nasababisha na maarif
Ni mabrenjin nussein Mwinyi
(Rais Kashachangulia
Mchapa kazi mzalendo
Mlinzi wa muungano wetu
Wanamapinduzi yetu
Hongera rais wetu
Rais nani Rais Nani
Ni hussein Mwinyi
Hatoki Ikulu
Mpaka miaka kumi
Eeeh Zanzinbar daima mbele
Kwa bashasha Kwa furaha
Natamka Natamka mimi
Hussein Mwinyi rais wangu
Eeh! Hongera Rais wangu
Sijalazimishwa, sijashurutishwa
Nimemchagua kwa kura yangu
Oooh Wazanzibar
Shangilia shangilia
Hussein Mwinyi
Rais Kashachangulia
No comments yet