Nisamehe Lyrics

Kukuhini kusokwisha umeangukia pemani
Roho ya ni dadarika kashantoka shetwani
Nimeumbiwa makosa mwanadamu na mimi
Moyo umekunja ndita nikumiss jamani

Ngumu safari ilifanya njiani ushukie
Ukakosa siti milika gari lako mwenyewe
Nikajiweka masharti nikajiona mi ndo mie
Kweli mbaya hali sina wema hakosi ye

Nisamehe, nisamehe
Nisamehe, nisamehe

Chozi dibwi dibwi
Nachanganyikiwa na vilio sishikiki
Niko magharibi lizamapo juu
Wewe upo mashariki

Zawadi vipochi, vijisi vipipi
Nazimiss chocolate
Nimekwama there nilivyonyongea
Huba zako sizipati

Tabibu, kunikomesha umepata toto la Kitanga
Sababu, umeichoka jeuri yangu ya Kipemba
Lile gugu, limeniisha kabisa beiby hali nanga
Aibu, wananicheka wajinga rudi nakuomba


See Also


Ngumu safari ilifanya njiani ushukie
Ukakosa siti milika gari lako mwenyewe
Nikajiweka masharti nikajiona mi ndo mie
Kweli mbaya hali sina wema hakosi ye

Nisamehe, nisamehe
Nisamehe, nisamehe

Nikikaa nawaza nimwingie kwa style gani?
Nimlilie aseme nami mbaya, kasahau tisheti nyumbani
Nashindwa kujizuia, uvumilivu unanishinda kwanini?
Nikimpigia kusudi zake, Akipokea ‘Ati Hello’ wewe nani?

Iiiiii, namba kakupa nani?
Iiiiii, mara aah we kumbe wewe unafanya issue gani
Mi msanii, anajua ina maana hanioni kwenye TV
Ah ai wewe, ah aiii wewe

(Wasafi)

 


New Lyrics


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists