Hasara Lyrics
Zuchu-Hasara
Mi staki tuongee ,
Moyoni nina machungu
Sije tenda dhambi,
Ila chozi la mnyonge ,
Malipo ni kwa Mungu kwa Mungu,
Bora nihame kambi,
Kama subira ina mwisho,
Ina mwisho wake maana,
Asali umeimaliza mzinga,
Ukanifanya tahira,
Suluhisho nimeona kwako hamna,
Moyo wangu si wa mnina,
Tunangombana kwa vitu vidogo,
Kosa si kosa unageuka mbogo,
Huna dogo wewe,
Hunipendi unang’onga kisogo,
Punda siendi eti bila magongo
Mpenda zogo wewe,
Kukupenda tena staki,
Nimekoma staki,
Narudia tena staki,
Bora nihesabu,
Kwa penzi nimepata ,
Hasara, hasara,
Hasara, hasara
Hasara ya roho,
Penzi imekwenda zake,
Hasara aah, hasara,
Hasara, hasara
Kina cha maji matitukana
Cha mila boya nijifie
Kosa langu nini,
Mchana naonaga usiku,
Nachacha nyie maumivu niyasikie
Yasiwakute nyi,
Na kama albadiri
Ya bayana umeniumbua
Umeniadhiri
Umeniacha mnyama na nguo umenivua
Kukupenda tena staki
Nimekoma staki
Kukuona staki
Narudia tena staki
Kukuona staki
Nimekoma staki
Heee! Bora nihesabu tu
Kama nimepata
Hasara , hasara
Hasara, hasara
Hasara ya roho
Penzi imekwenda zake
Hasara aah, hasara aah
Hasara, hasara
No comments yet