Cheche Lyrics
Zuchu-Cheche
Te amor Te amor,
Le te quero, quero,
Yaliyomo yamo
Hujazoa penzi kwa beru,
Mwenzako migulo chengele,
Wanalia ugoya wa nje bwerere
Sema upendacho utakula jegele
Kinyama kulumagia kam nkuchumie tembele,
Na bila huruma unanijuza!
Kwamba unayabaruza!
Mi mtoto unanikuza!
Wee aah
Unanichezesha kwaito!
Kwa koro waito,
You dey give me banana!
Your love is stamana,
Unachezesha kwaito,
Kwa koro waito!
My baby twachezeshana,
Che! Che! cheche rumba!
Hey tunashikana shikana,
Che! Che! cheche rumba,
Tunachezeshana
Che che che,
Che! Che! cheche rumba che
Zinatoka che che tukigusana gusana,
Che! Che! cheche rumba che! che!
Eeeh unapendaga chocolate,
Mavanilla nilla ,
Tam tam sweety ety ,
Nikichenga ka roja Mil
Brrr Okey!
Penzi koleza uje wa Dubai
Huba lipambe moto
Kama mafuta kwa karai
Okey na ulivyo katoto lito to
Leo mpaka kokoriko ko
Ghetto ni kulamba mwiko ko
Sakafu hadi kwata niko ko
Korikoko mama utaniua, nikomeshe
Ya leo kiboko, nikomeshe
Imezidi utamu, nikomeshe
She! She! She! Komeshe
Asa kukuacha wewe
Niende kwa mwengine
Ujeuri sina
Jinsi twachezeshana
Che! Che! cheche rumba che! che!
Hey tunashikana shikana
Che! Che! cheche rumba che! che!
Tunachezeshana
Che che che rhumba che
Che! Che! cheche rumba che! che!
Zinatoka che che tukigusana gusana
Che! Che! cheche rumba che! che!
Na kakara zako kinkiri
Kinkiri kanka!
Kinkiri kankara kinkiri
Zanimalizaga
Eeh na kakara zako kinkiri
Kinkiri kanka!
Venye unavyo kinkiri
Kinkiri kan kinki
Kinkiri kanka
Ki! Ka! kirinkaka!
Unanichezesha kwaito
Kwa koro waito
You dey give me banana
Your love is stamana
Unachezesha kwaito
Kwa koro waito
My baby twachezeshana
No comments yet