Willy Paul – Tupewe Pombe Lyrics

Leo si ni, Leo si ni
Leo si ni Friday
Leo si ni Friday
Leo si ni Friday tupige sherehe
Friday piga sherehe
Leo si ni Friday tupige sherehe
Friday piga sherehe

Mtoto pewa pombe kunywa pombe
Lewa lewa kunywa pombe
Inama chini kunywa pombe
Shika rungu kunywa pombe
Watu wa Gilbeys, tupewe pombe
Watu wa changaa, tupewe pombe
Watu wa Konyagi, tupewe pombe
Watu wa Guarana, tupewe pombe
Ma panty removers
Watu wa Hennesy
Asante, waiter asante
Thankyou so much unaeza ishia
Kwa mabega, kwa matako
Kwa katumbo chapa chupa
Kwa mabega, kwa matako
Kwa katumbo chapa chupa

Leo si ni Friday
Leo si ni Friday (Tupewe pombe)
Leo si ni Friday tupige sherehe
Friday piga sherehe
Leo si ni Friday tupige sherehe
Friday piga sherehe

Mtoto pewa pombe kunywa pombe
Lewa lewa kunywa pombe
Inama chini kunywa pombe
Kila mtu apige story yake ya pombe
Mimi nikilewa mi huona niko London
Aki walai si mi napenda pombe
Mimi nikilewa nakuwanga dunia yangu
Naona Raila ni baba yangu
Siste na we (Pombe ni bae)
Siste na we (Pombe ni bae)
Na hata zikishika sikuwangi mloose
Asante, waiter asante
Thankyou so much unaeza ishia
Watu wa Gilbeys, tupewe pombe
Watu wa changaa, tupewe pombe
Watu wa Konyagi, tupewe pombe
Watu wa Guarana, tupewe pombe
Ma panty removers
Watu wa Hennesy
Asante, waiter asante
Thankyou so much unaeza ishia
Kwa mabega, kwa matako
Kwa katumbo chapa chupa
Kwa mabega, kwa matako
Kwa katumbo chapa chupa

Leo si ni Friday
Leo si ni Friday (Tupewe pombe)
Leo si ni Friday tupige sherehe
Friday piga sherehe
Leo si ni Friday tupige sherehe
Friday piga sherehe (Tupewe pombe)

Shiko ni kama nimeibiwa simu, we umelewa
Gai ako wapi Brayo? hio ni pombe
Ako wapi Kevo? Kevo ni baba ako?
Wanaume hutumia watu vibaya
Ata wewe unawatumia vibaya
Si umekula pesa yao
Umekunywa pombe yao
Vumilia bana


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists