Aaaih Lyrics
Willy Paul ft Reckless-Aaaih
Rudi tena unipe ma aaaih,
Ulitoka na hukunipa namba !
Rudi tena unipe ma aaaih;
Ulitoka na hukunipa namba?
Hii Big G! nilitafuna
Big G imekulwa na doggy’
Bila huruma! nilitafunaga
Nikamwaga mate kama doggy
Yaani tekenya; chekesha
Yaani tega na kutegua aaih
Kanipatia nichafue;
Nilichosikia tu ni mayowe!
Akinitekenya baby girl !nikikam basi legeza
Na hio tah tah napenda ukiichezesha!
Wezesha nacheza ki manager;
Nikiteleza nazama kibanzenga
Chezesha msambwanda mama,Chezesha mama!
Chezesha msambwanda aah !Rungu imesimama(x2)
Basi tekenya chekesha!
Kanitega na kutegua aaih!
Yaani tekenya chekesha aaih;
Yaani tega na kutegua aaih
Aaaih Aaaih ;Aaaih Aaaih;
Fanya tena, ulivyofanya jana;
Aaaih Aaaih; Aaaih Aaaih;
Baby nipe tena ;kama jana
Sijui mi nina shida ;ama niwe umeiva
Ona basi nani ;hugeuza kichwa ukipita aii
Na hio figa kwa picha!
Unasumbuaga! raia wakiscroll pale Insta
I guarantee speed ;ni ya ma3
Ukitaka niongezee; kama ya bedi
Kam kam baby kam kam mami
Msambwanda; imejaza kanga
Kwani we ni manyanga;
Baby nitakupanda kama nganya
Hujui mi makanga
Chezesha msambwanda mama Chezesha mama
Chezesha msambwanda aah !Rungu imesimama!(×2)
Basi tekenya chekesha yo (aaaih)
Kanitega na kutegua aaih
Yaani tekenya chekesha yoo (aaaih)
Yaani tega na kutegua yo aaih
Aaaih Aaaih Aaaih Aaaih!
Fanya tena, ulivyofanya jana!
Aaaih Aaaih! Aaaih Aaaih
Baby nipe tena kama jana
Kanitekenya chekesha yo aaaih!
Kanitega na kutegua yo aaih!
Kanipatia nichafue!
Nilichosikia tu ni mayowe
Chezesha msambwanda mama ,Chezesha mama
Chezesha msambwanda aah !Rungu imesimama!
Kanitekenya chekesha aaih
Kanitega na kutegua yo aaih
Yaani tekenya chekesha aaih
Yaani tega na kutegua yo aaih
Aaaih Aaaih Aaaih Aaaih
Fanya tena, ulivyofanya janar
No comments yet