Willy Paul – Ogopa Wasanii Lyrics
Jana nakuchukua nakuweka mmh
Mimi nikichukua ni kupenda na kuoa
Ogopa, ogopa wasanii
Ogopa, ogopa wasanii
Ogopa, ogopa wasanii
Ogopa, ogopa wasanii
Mwanasimba katenda majanga kwa Tanasha
Mwone simba katenda majanga kwa Tanasha (katafuna na katema)
Mimi nikichukua ni kupenda na kuoa
Tupate watoto wazuri warembo chini ya ndoa
Boo boo sitakupiga mimba nitoroke, nitakuoa
Tena I swear sitakuvunja moyo nitoroke
Mimi nawe mpaka chee, call me gentleman
Mimi nawe mpaka chee, call me a gentleman
Baby baby, kuna wasanii wadogo
Wajui hata panguza kamasi
Wanaslide, kwenye DM
Wanadhani mapua yao
Ona watoto wa Diana Diana, danganya wewe
Mtoto wa kilio kilio danganya wewe
Hapa hakuna bahati, akwende akalie mbali
Basi nikatikie baby kata, kata kata
Mpaka kwa tiktok baby kata, kata kata
Jana nakuchukua nakuweka mmh
Mimi nikichukua ni kupenda na kuoa
Ogopa, ogopa wasanii
Ogopa, ogopa wasanii
Ogopa, ogopa wasanii
Ogopa, ogopa wasanii
Wengine usiwapee, watakuvunja na moyo
Using’ang’ane watakuvunja na moyo
Unasema, sema star
Unamtaka juu ye ni star
Unasema, sema star
Unamtaka juu ye ni star
Boo boo unajua ya tisho
Wanadanganya watu
Eti wanapeleka java
Na wanapenda kitanda
Eti muhali wanje wee
Kudanganya watu
Eti muhali wanje wee
Kudanganya watu
Nikatikie baby kata, kata kata
Mpaka kwa Tiktok baby kata, kata kata
Jana nakuchukua nakuweka mmh
Mimi nikichukua ni kupenda na kuoa
Ogopa, ogopa wasanii
Ogopa, ogopa wasanii
Ogopa, ogopa wasanii
Ogopa, ogopa wasanii
No comments yet