NYE Lyrics

Willy Paul x Mejja-NYE

Alisema kwake ,ni kama kwangu
Eti Pozze feel ,at home
Akasema bila ,mimi hawezi kufunction
Ni kama mdomo

Pia mimi alinishow hana mambo mob,
Akajifanya holy,
Niko na message, kwa phone
Kumbe alichapwa ,na Kevo na Brayo

Baby punguza ma nye nye
Punguza ma nye Ata mamangu hakutaki
Baby punguza ma nye,Nye Nye
Punguza ma nye,

Punguza ma nye Nye
Punguza ma nye ,Ata mamangu hakutaki
Baby punguza ma nye,Nye
Punguza ma nye

Huyu manzi ananibamba,
Lakini ubaya anapenda kugaga,
Naskia anadai wazee walisema,
Miti ni dawa,

Na mi alinshow penzi lake kwangu,
Ni ya power,
Yake pata potea,
Kata ka stima Kenya Power,

Ye hupost ndethe,
Alafu anaandika caption moja deep,
Wacha chocha,

Toto anapenda manyundo,
Nilidhani katoto,
Kumbe nadeal

Baby punguza ma nye
Punguza ma nye (Ata mamangu hakutaki)
Baby punguza ma nye,

Punguza ma nye
Punguza ma nye Nye Nye
Punguza ma nye Ata mamangu hakutaki
Baby punguza ma nye, Nye Nye
Punguza ma nye Punguza ma nyege

Katoto kanapenda ngwati
Ngwati, ngwati eeh
Katoto kanapenda ngwati
Eeeh

Kukupiga busu ni ka kukiss esto
Hizi lips nitaziosha na dettol
Nilidhani you are humble and loyal
Kumbe kazi yako ni kugurumisha freno

Nilidhani mi hukulima vifiti
Kumbe kuna mwingine hukupiga miti
Mmmmh we ni wa kamati
Unalimwa na kamati

Baby punguza ma nye Nye Nye
Punguza ma nye Ata mamangu hakutaki
Baby punguza ma nye, Nye Nye
Punguza ma nye

Punguza ma nye (Nye Nye)
Punguza ma nye (Ata mamangu hakutaki)
Baby punguza ma nye, (Nye Nye)
Punguza ma nye (Punguza ma nyege)


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published.

Search Artists