Willy Paul – Meremeta Lyrics

Mapenzi yalianza ana Adamu na Hawa
Miaka zikapita baby tukazaliwa
Wazee walinena mapenzi gharamaaa
Na kama ni gharama mi nishakupenda
Oh amka kumekucha my lover
Jogoo wa kokoriko amewika
Nikumbate nikate my lover
Oh baby nionjeshe kidogo (dogo dogo)
Hii asali nilambishe kidogo (dogo dogo)
Umenikamata mutema nashindwa kulala
Nisipokuona siku moja nashinda nikiwaza

Hata gizani mama yooo, unamereme unameremeta
Chumbani mama yooo, unamereme unameremeta
Hata ukidunga akala yooo, unamereme unameremeta
Hata nywele iwe mbovu yeah, unamereme unameremeta
Meremeta yooo yooo, unamereme unameremeta
Meremeta yooo yooo, unamereme unameremeta

Baby uko sawa na haupigi posti
Miss independent hulinganishwi mamaa
Baby uko sawa hata ukiringa ni sawa my lover
Uko shwari mama ukiringa ni sawa my lover
Penzi lako ni tamu asali, halua halua
Kama polisi nitakulinda my darling, for sure for sure
Oh baby nionjeshe kidogo (dogo dogo)
Hii asali nilambishe kidogo (dogo dogo)
Umenikamata mutema nashindwa kulala
Nisipokuona siku moja nashinda nikiwaza

Hata gizani mama yooo, unamereme unameremeta
Chumbani mama yooo, unamereme unameremeta
Hata ukidunga akala yooo, unamereme unameremeta
Hata nywele iwe mbovu yeah, unamereme unameremeta
Meremeta yooo yooo, unamereme unameremeta
Meremeta yooo yooo, unamereme unameremeta

Oooh meremeta, meremeta mama
Oooh meremeta, meremeta mama
Oooh meremeta, meremeta mama
Oooh meremeta, meremeta mama

Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists