Kamati ya Roho Chafu Lyrics

Kamati ya roho chafu
Wasonge kando wafanye kudance (Pozee)
Ingia kwenye sakafu
Tafuta wako leo ni kudance

Pi pi pinda mgongo
Pi pi pinda mgongo
Pi pi pinda mgongo
Pi pi pinda mgongo

Baby dance ukipinda mgongo
Dance kama chiba katupa magongo
Eeey dance kwenye beat ya Kimambo
Dance mami yaani kama unacheza kigoco

Mi nko vibaya baby
Kama gari imezima imeshusha gauge
Yaani na retire baby
Kwako tu ni moshi nishazima fegi

Baby dance Hallelujah
Njoo katikati dance kakololo
Hii -n kote ka maua
Leo Willy Paul Sauti Sol wanatesa

Kamati ya roho chafu
Wasonge kando wafanye kudance
Ingia kwenye sakafu
Tafuta wako leo ni kudance

Pi pi pinda mgongo
Pi pi pinda mgongo
Pi pi pinda mgongo
Pi pi pinda mgongo

Pinduka leo kunalipuka
Watu juu ya furniture
I can see you looking at me
Indica pia kuna sativa
Sura ya malaika
Woun’t you back it up on me

Mali safi iende chain
Anything she want’s tonight for me
Call me daddy say my name
Na ukinipa leo nitazamisha

Kama Tsunami tumekuja
Wengine kasi ni army
Been a good boy kutoka zamani
Sol Generation we ran the city
Yeah..

Kamati ya roho chafu
Wasonge kando wafanye kudance
Ingia kwenye sakafu
Tafuta wako leo ni kudance

Pi pi pinda mgongo
Pi pi pinda mgongo
Pi pi pinda mgongo
Pi pi pinda mgongo

(Teddy B)


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists