Willy Paul – Diana Lyrics

Kwa nini ukiniitisha mi nashindwa kukunyima, Kamote
Ukinituma nakimbia, izo ni kamote
Utakuja kuni murder, kamote
Nione huruma mama
Nilitaka niguse nilambe
Sikutaka twende far
Nilitaka tu niguse nipepete
Sikutaka twende far

Oh Diana hii ni Kamote
Navyo jifeel sielewi hii ni kamote
Oh Diana hii ni Kamote
Navyo jifeel sielewi hii ni kamote
Ona sa Diana umenimurder nguvu
Kila time tu ni sekete
Diana umenimurder nguvu
Kila time tu ni sekete
Aii Diana ah
Ah Diana Diana
Diana ah Diana

Watoto wako naosha, tena napanguza yoh, aje?
Chupi zako mi nafua tena nakausha yoh, aje?
I’m in your house and I don’t know why
Naosha vyombo and I don’t know why
Now I’ve fallen deep in love, kamote
Ona sasa navyokupenda, kamote
Hizi ni madumba mama
Mimi mtoto wa mama

Oh Diana hii ni Kamote
Navyo jifeel sielewi hii ni kamote
Oh Diana hii ni Kamote
Navyo jifeel sielewi hii ni kamote
Ona sa Diana umenimurder nguvu
Kila time tu ni sekete
Diana umenimurder nguvu
Kila time tu ni sekete
Aii Diana ah
Ah Diana Diana
Diana ah Diana

Watoto wako naosha, tena napanguza yoh, aje?
Chupi zako mi nafua tena nakausha yoh, aje?
Aii Diana ah
Ah Diana Diana
Diana ah Diana
Ona sa Diana umenimurder nguvu
Kila time tu ni sekete, oh yeah
Diana umenimurder nguvu
Kila time tu ni sekete
Nilidhani itakuwa one night stand
One night stand
Nilidhani itakuwa one night stand
One night stand


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists