Willy Paul – Aheri Mama Lyrics

Oh mama mama
Oh mama mama
Oh mama mama
Oh mama mama

I could never ask for more
Mama amor, nyawa aheri mama
I could never ask for more
Mama Amor, nyawa aheri mama
And there is a day
Ninakuita mama (aheri mama)
And there is a day
Ninakuita mama (aheri mama)

Najua kuna wale hawanao mama, sio kupenda kwao
Najua kuna wale hawatanielewa na sio kupenda kwao
Ile nyumba fathe hakumalizia, nikumalizie mama
Ile nyumba fathe hakumalizia, nikumalizie mama
Ile deni mathe uliomba, nikumalizie mama
Na ile nguo ulitamabni ya jirani, nikununulie mama
Mama (mama) ah mama (mama)
Mama (mama) ah mama (mama)
Mama (mama) ah mama (mama)
Mama (mama) ah mama (mama)

I remember Salome
Nilipokosea ulinichapa kidogo
Na nilipokosa chakula mama
Ulitafuta kidogo
Ata sijui mbona nalia, mbona nawaza mama
Sijui mbona nalia, sijui mbona nawaza mama mama

Mama (mama) ah mama (mama)
Mama (mama) ah mama (mama)
Mama (mama) ah mama (mama)
Mama (mama) ah mama (mama)

Mathe najua unam-miss mume wako fathe
Oh pole aisee, nimmiss kama mwana wake
Mama I got you, anything you want just tell me
Mama I got you, anything you want just tell me
Mama mama
Mama I love you mama, aheri mama


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists