Mi Amor Lyrics
Nainua mikono mama
We wangu mweupe
Ishara ya mapenzi mama
Oooh oooh mi amor
Baby sinzia kifuani fofofo
Tega leo zamu yako
Naipamia kamia ni yako show
Hakuna kuomba po
Tunayoyafanya chumbani
Usiweke hadharani wakaona
Kwako mimi abadan
Tena shishindani nimekoma
Usiniweke size ya kidumu
Labda kwenye ndoo
Mimi kwako kama mchungaji
We ndo kondoo
Niki ku, niki ku
Nikikuona nahisi raha ka mgonjwa napona
Aii mama najidekeza, najitamba kwako
Nikikuona nahisi raha ka mgonjwa napona
Aii mama najidekeza, najitamba kwako
Mi amor, mi amor
Mi amor, mi amor
Mi amor, mi amor
Mi amor, mi amor
Nitazame baby nishike shingoni
Yako mipapaso maruhani
Nikumbate unaponikiss mdomoni
Nilicho onja kwako sikitemi
Mie natamani leo mpaka kesho
Tusije gombana aah
Toka zamani niko nawe
Kufa kufaana ooh baby
Usiniweke size ya kidumu
Labda kwenye ndoo
Mimi kwako kama mchungaji
We ndo kondoo
Niki ku, niki ku
Nikikuona nahisi raha ka mgonjwa napona
Aii mama najidekeza, najitamba kwako
Nikikuona nahisi raha ka mgonjwa napona
Aii mama najidekeza, najitamba kwako
Mi amor, mi amor
Mi amor, mi amor
Mi amor, mi amor
Mi amor, mi amor
Nainua mikono mama
We wangu mweupe
Ishara ya mapenzi mama
Oooh oooh mi amor
(The Mix Killer)
No comments yet