Wewe Tu Lyrics
Wewe Tu Lyrics by Ally Mahaba
Baby nifungilie Shindilia zenye topazi
Ndio maana Sitaki nibanduke kwako
Tena nitulie
Tuya tuya halali kichunga
Nidunde Dundee na Moyo wako
Uko kuvumilia Ni mtihani Tosha
Kufa Kupona Upo Nami
Na ungenikubali hata ningekutosha na Moyo
Wa Simba
Wa Kusema Waseme
Kenya Power
Wakazime umeme
Kwangu wewe ndio dawa unaefanya niheme
Ila Kuchepuka Chepuka wewe umefanya nikome
Taabu na ukasela kasela
Niache ukapera kapera
Kwa Mandela Mandela tusherekee
Na wale wa kukera kera wasituzoee
Ni wewe tu
Usiwe na wasiwasi
Ni wewe tu
Wewe ndio mwenye nafasi
Ni wewe tu
Nikufanye Moyo unapiga Kasi
Ni wewe tu
Usije ukatonesha Kidonda
Ah ah ah ah
Nakondeshwa na asenali
Unanilambisha Asali
Nakula we mdomo kwa mdomo
Unanilisha
Sijali wanayoyasema majirani
Usiku watalala tu
Chali washashindwa Visirani
Wote wanakulaumu
Ata wawe Kenya Power wakauzime Umeme
Mi kwangu wewe kwangu kidawa umefanya nikue Poa
Watambue mashemela shemela na kidemela demela na wale wakukera
Wasituzoee
Ni wewe tu
Usiwe na wasiwasi
Ni wewe tu
Wewe ndio mwenye nafasi
Ni wewe tu
Unafanya Moyo unapiga Kasi
Usije ukatonesha Kidonda
No comments yet