Wanavokali – Kula Tatu Lyrics

Ni wakati
Wa kuachilia mambo ya kazi
Mimi huyo nishaitisha taxi
Kuna kitu kwenye hewa tonight
Haya basi
Tunaenda wapi party kwa nani
Kuna drinks ama nipite maskani
Katashika katanuka tonight

Location iko set
Mzinga ziko check
Madame na maboy wamekuja kuflex
DJ ako fresh
Mapeddy wanasell
Kadi tumeshuffle na ni time ya kuplay
Kula, Kula tatu
Kula, Kula tatu

Tukicheza game ya poker (Kula tatu)
Ukilishwa tatu juu ya joker
Kula macookie na makeki
Tumaji usibleki
Kabusu na kahug tu
Baby kula Tatu (Kula Tatu)

Kula, Kula Tatu
Kula, Kula Tatu
Kula, Kula Tatu
Kula

Game imefika wapi?
Nani anacheza, nani anaweka kadi? Wah
It’s shikaing my guy
It’s shikaing my guy
After hii round sitajiweza walahi
But the, night is young
Bado form inadai
And the, vibe is right alright
Meanwhile, Mziki imeshika
Na watu wanawika
Ngoma za Wanavokali

Location iko set
Mzinga ziko check
Madame na maboy wamekuja kuflex
DJ ako fresh
Mapeddy wanasell
Kadi tumeshuffle na ni time ya ku play
Kula Tatu, Kula
Kula Tatu, Kula

Ukicheza game ya poker (Kula tatu)
Ukilishwa tatu juu ya joker
Kula macookie na makeki (Kula tatu)
Tumaji usibleki (Pewa tatu)
Kabusu na kahug tu (Mara Tatu)
Baby Kula Tatu (Kula Tatu)

Kula, Kula Tatu
Kula, Kula Tatu
Kula, Kula Tatu
Kula, Kula Tatu
Eat three, Wau!
Wanavokali kali kali sana

Watakubali Wanavokali
Watakubali Wanavokali
Watakubali Wanavokali
Watakubali


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists