Wanavokali – Amani Lyrics

Hawaoni kuwa
Kidole kimoja hakiwezi kuvunja chawa
Bila ya kujua
Kufanya kazi na wenzio kwa pamoja, Tutajiinua
Na mambo yote yatarudi kuwa sawa sawa

Na tunapiga dua
Kwake Mwenyezi atuelekeze tukikosa njia
Na matumaini yetu yote yakianza didimia
Hatatuwacha kwenye njaa na mwishowe tutapaa

Amani
Amani iwe na wewe
Na uzuri
Uzuri wako usipotee usipeteze
Amani iwe nawe, Amani iwe na wewe
Amani iwe nawe, Amani iwe na wewe
Amani iwe nawe, Amani iwe na wewe
Amani iwe nawe

Nataka niwe mwepesi wa rohoni
Saa zingine macho tu hayaoni
Hivo niweke kwenye maombi
Ndoto zisibaki ndotoni
Nitakapotoka gizani
Na nitakaporudi nyumbani
Atanipanguza machozi
Sitolia kama awali

Napiga dua
Kwake Mwenyezi atuelekeze, Tukikosa njia
Na matumaini yetu yote yakianza didimia
Hatatuwacha kwenye njaa
Na mwishowe tutapaa

Amani
Amani iwe na wewe
Na uzuri
Uzuri wako usipotee usipeteze
Amani iwe nawe, Amani iwe na wewe
Amani iwe nawe, Amani iwe na wewe
Amani iwe nawe, Amani iwe na wewe
Amani iwe nawe


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists