Interlude Lyrics
Wakadinali-Interlude
Nyamaza, nyamaza
Nani anamlipua,Mapolisi 6
Wamemlipua risasi kumi na moja
Mtu mgani ,Sijui amelala chini
One,Two,Three,Four,Five
Maaskari saba, mtu mmoja
Nyamaza,
Nani anamlipua,Mapolisi sita
Wamemlipua risasi kumi na moja
Mtu mgani ,Sijui amelala chini
One,two,three,four,five
Maaskari saba mtu mmoja
Wamemlipua risasi kumi na moja
Mtu mgani ,Sijui amelala chini
One,Two,Three,Four,Five
Maaskari saba, mtu mmoja
Nyamaza,
Nani anamlipua,Mapolisi sita
No comments yet