Waah! Parody Lyrics
Dogo Charlie,Mca Tricky-Waah!Parody
Tunaingia akitoka waah
Tunaingia akitoka waah)x2
Tamu tunyonye nawe,
Tamu hii chukua,
Tamu tunyonye nawe,
Oh mumeo, ameshaishia,
Hii maneno maneno umeshazoea,
Mume wako ni mbaya kwani huonangi,
Doshi yake ndogo hata hawezani
Na mume wako malaya, wewe unaogopa nini?
Tumekuja kwa ubaya, na round hii lazima utupatie
Uniachie nianze,
Uniachie nianze,
Tufanye basi unipatie kidogo
Kukuacha siwezi na masweet niko nazo
Lakini ukininyima
Nitachukua na kuweka ah
Nitachukua na kuweka ah
Nitakuzalisha mtoto
Toa leso nikupe
Si unataka mtoto
Toa leso nikupe
Kuna mtu mlangoni, tujitetee
Eeh mzee amerudi, tujitetee
Oya tufanye nini, tujitetee
Long-i ifungwe, tujitetee
Kuna mtu mlangoni, tujitetee
Eeh mzee amerudi, tujitetee
Oya tufanye nini, tujitetee
Long-i ifungwe, tujitetee
Mashetani yashindwe
Shetani ashindwe
Mashetani yashindwe
Shetani ashindwe
Sasa pokea, pokea pokea
Sasa pokea, pokea pokea
No comments yet