Simpo Simpo Lyrics

Vivian X Stivo Simple Boy – Simpo Simpo

simpo simpo

STIVO, Ndio maanake. VIVIAN, Mavo on the beat

Mwanzo nilikuona
Picha yako ilipostiwa kwenye twitter nikatamani
Ah Vivian, ah Vivian

Nilijua huwezi amini
Nikajiuliza
Nitafanya vipi uwe na mimi
Iwapo si kawaida

Na sasa ni kumoto moto
Niwe wako mtoto toto
Ninacho hisi ni rojo rojo
Napenda zako simpo simpo

CHORUS

Uko simpo, napenda njaro zako simpo
Ndio maanake (simple boy)
Uko simpo, napenda njaro zako simpo
Ndio maanake (simple boy)

Na sasa ni kumoto
Mi ndo wako mtoto
STIVO: Ndo maanake
Ninacho hisi ni rojo
Napenda zako simpo simpo

STIVO VERSE
Sweet heart njoo karibu nami
Nikupe penzi kwako nipige kambi
Mimi nakuenzi bila we sijiwezi
Mapenzi si watatu bali ni ya wawili
Ukiwa mbali mpenzi nadondokwa na machozi
Usinipe headachi usinipe heart breaki
Njoo kwangi maa unipe ma lovey dovey
Wewe ni dakitari njoo unitibu nisipate maumivu
wangu tabibu kwangu ushaafika nakwambia karibu
Njoo kwangu maa nikushike taratibu bila aibu
Ndo maanake.

CHORUS
Uko simpo, napenda njaro zako simpo
Ndio maanake (simple boy)
Uko simpo, napenda njaro zako simpo
Ndio maanake (simple boy)

VIVAN
Na sasa ni kumoto
Niwe wako mtoto
Ndo maanake (simple boy)
Ninacho hisi ni rojo
Napenda zako simpo simpo

VIVIAN RAP VERSE
Mash up di ting anytime unadai
Nimekukufia na siwezi kufufuka
Nipe vitu, mahaba, venye unafanya ninafeel si kawaida
Burn Calories x2
Niperembe perembe ni ka ni hobby
Si unajua me upenda watukutu
Dont be shy come lets get naughty

Na sasa ni kumoto moto
Niwe wako mtoto toto
Ninacho hisi ni rojo rojo
Napenda zako simpo simpo

CHORUS
Uko simpo
Napenda njaro zako simpo
Ndio maanake (simple boy)
Uko simpo, napenda njaro zako simpo
Ndio maanake (simple boy)

VIVIAN
Na sasa ni kumoto
Niwe wako mtoto
Ndo maanake(simple boy)
Ninacho hisi ni rojo
Napenda zako simpo simpo

Na sasa ni kumoto moto
Mi ndo wako mtoto toto
Ndo maanake (simple boy)
Ninacho hisi ni rojo rojo
Napenda zako simpo simpo!


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists