Turudi Streets Lyrics

Wakadinali-Turudi Streets

Turudi streets toka Ig,
Turudi streets pete ni silver,
Turudi streets mecca medina,
Turudi streets nyi rapper madivas,

Turudi streets toka Ig
Turudi streets pete ni silver
Turudi streets mecca medina
Turudi streets rapper madivas

Kuja streets, toka Insta
Mbona bitch anawhisper,
Hakuna kitu mi naeza miss
Labda ngoma, mpya ya E-Sir

Mara ngapi jo, nimeshinda niki insist
Hii ni kazi sio sifa
My niggas love me nikipika
Wanabonga mavi ni mapipa

I am tough like a motherfcker
Let them kmow me but I know them
I call shots idgaf
So I wrote a song for my own fame

Me and paps we don’t talk much
But he know son is a grown man
Siku mingi nimefuck up
So nataka fans nyi mniombe

Tabia yangu, huwanga mbovu
Wacha niwatombe sasa ,
Mlishindwa kuniua kwa kovu jo,
Mkadai it’s for the culture,

Pussy niggas ,thought I told you
Nyi mtapata ,what you ask for
Nitusi niggas, me am old you
Mkiwapata nitawapasha

Bangi ikizidi ,nawakisha udi
Mizani ni mingi ,na mi sina budi
Manze jo ni ,nyinyi mimi nina udi
Na sio siri tunapullup kwa nduthi

Rong brothers, ikibidi I approve it
Mtoto ni mrembo, na ye huwa groupie
Anavaanga, mini bila hio chupi
Lakini mi sipendagi hio bushy

Turudi streets, toka Ig
Ulimanga hio bitch na mi nilihit
Ulivuta hio shit ndio maana nimetrip
Manze ulisnitch uliandika list

Dem anafck na Jovie anaonyeshwa madiss
Kama si rap kwa booth namake ma beats
Jovvie napanga missioni na kuzoza ndio form,
Dem ananishow ako horny

Ah tulicatch ju nilismash,
Ka nilihatch nilipata macash,
Nilicheki ni slutt mimi nikadash,
Nimeseti kishash kama nimekipass

Let us have leo mamzinga tuhire madinga
Ni kafala hako kadem,
Bado kalimangwa na hakananga mandina,
Unaeza nitry hadi kwa rugby ,
Mi ndio rong rende nitakuzima,
Mi ndio plug town Mr Price

Tusimeet ka sijanyanya ,
Ju sijaichocha kuririma,
Am all about kuponana,

You know am all about kuponanga
Nilitarajia 12k nikanusurika salasa
Instagram si tunaonanga
Siwezi ngoja kuomoka


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists