Trio Mio

Madimanaga

Madimanaga Lyrics

Trio Mio-Madimanga

Aaah huh Trio Mio
Kuh skrrrrt, Cheki!

Mashashola mashida zinaondoka
Nikinyanya naskia nimeomoka
Biringanya madiva nawakoroga
Saa ya doba katika mi naromboswa

Stoner madimanga
Nikinyanya nafichanga na madigaga
Mitishamba najikaranga na vifaranga
Nikipanga nakimanga mabiringanya

Oya zoza
Chapa zuzu chupa kwa kisogo akizua
Zogo si huzimanga na dimanga kwa mafua
Tiki looku drippy na si mvua, si unajua
Mbosho wakisaksua niko tupu nakamua

Cheki za manguna wanatunza ka Kamene
Cheza na mutaratara cheza na kinembe
Wa kwako namdara dara nampiga mavijembe
Nimedishi sembe mazgwembe ziko stoner

Madimanga
Nikinyanya nafichanga na madigaga
Mitishamba najikaanga na vifaranga
Nikipanga nakimanga mabiringanya

Watu moshi na majunkie mabobo shanty
Chwani njoti ni ya majani kwa sacco bangi
Na mbogi ya wanati waroro matings
Ka kinyongi na maarif kikolo swafi Awooh

Mashashola mashida zinaondoka
Nikinyanya naskia nimeomoka
Biringanya madiva nawakoroga
Saa ya doba katika mi naromboswa

Gode imewaka gode, imewaka
Gode imewaka gode, imewaka
Kijana huyo, ameririma eish
Anaona mbang’a anatoroka mbio

Stoner madimanga
Nikinyanya nafichanga na madigaga
Mitishamba najikaanga na vifaranga
Nikipanga nakimanga mabiringanya


Related Lyrics

Added by

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists