Trio Mio

Cheza Kama Wewe

Cheza Kama Wewe Lyrics

Trio Mio-Cheza KamaWewe

Aha, Trio, Trouble

Buda form !!!
Manze si utuitie sherehe
Leo tupige kelele
Raha unajipa mwenyewe

Si unichome uko na ndom
Tukiwashe tupepeee
Tukate maji leo tulewe
We bazu cheza kama wewe

Trio cheza kama wewe
Cheza kama wewe
Cheza kama wewe
We bazu cheza kama wewe

Trio cheza kama wewe
Cheza kama wewe
Cheza kama wewe
We bazu cheza kama wewe

Trio nacheza kimimi mdhamini sipini
Na ka unadai moshi utazivuta kote chimney
Limit ya Fuliza imeongezeka niko machingli
Naeza shika jug na kanuthu niskie tifi

Nacheza kiroro, nacheza ki-wingman
Naeza fika soko nishike ki G bag
Turirime mragi meditation na ki FiFa
Shuksha kibandaskii chapo ndondo inaeza jipa

Rada na madenge, vuta hizo matenje
Usichomange kamenje, huskii niko mawenge
Unaeza nyonga sana, mkono ianze kumea skwembe
Manze kakiivana si napigana tu vijembe

Peleka na mtrrrr
Peleka na mtaratara
Usilete hapa machrrr
Manguna vitu chwara chwara

Mi huteka ma prrrr
Mamtoko huwanga maprincess
Magyala ni wapeng
Hapa kupost wako pinkless

Form !!!
Manze si utuitie sherehe
Leo tupige kelele
Raha unajipa mwenyewe

Si unichome uko na ndom
Tukiwashe tupepeee
Tukate maji leo tulewe
We bazu cheza kama wewe

Trio cheza kama wewe
Cheza kama wewe
Cheza kama wewe
We bazu cheza kama wewe

Trio cheza kama wewe
Cheza kama wewe
Cheza kama wewe
We bazu cheza kama wewe


Related Lyrics

Added by

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists