Pengting Lyrics
So leta bill ya- we ndo my Cardi
Sitawacha kukunyonya we ndo my candy
Mzalendo – kuwa country
Usineed we ndo fundi ule nahitaji
—–
—–
Kako yellow kama school bus
Mi sijui mapenzi basi si unischool bas
Nishafall baby girl si unipull bas
Kasabun tunasing ndani ya cool verse
Na sai tumelewa ndani ya cool bus
Time imefika tuingia karatin
Na nina pengting ndani ya karantin
Time imefika tuingia karatin
Na nina pengting ndani ya karantin
So mi ndo breadwinner na lazima nimkate
BB itandaze nikupake
Eeh sanitize kabla hujapaka mate
Na akikuanga busy mi nageukaga ate….
No comments yet