Yaa Rasuul Allah Lyrics

Aswalaatu Wassalaam Alaika
Yaa Rasuulallah
Aswalaatu Wassalaam Alaika
Yaa Nabiyallah

Aswalaatu Wassalaam Alaika
Yaa Rasuulallah
Aswalaatu Wassalaam Alaika
Yaa Nabiyallah

Aswalaatu Wassalaam Alaika
Yaa Rasuulallah
Aswalaatu Wassalaam Alaika
Yaa Nabiyallah

Aswalaatu Wassalaam Alaika
Yaa Rasuulallah
Aswalaatu Wassalaam Alaika
Yaa Nabiyallah

Alhamdullilahi, kamba yako nimeishika
Silsila kwa mabwana mpaka kwako ninafika
Nafsi hufurahika — Allah
Utajua kuna nasubu yako
Maradhi huniondoka

Yaa Rasuulallah
Yaa Nabiyallah

Aswalaatu Wassalaam Alaika
Yaa Rasuulallah
Aswalaatu Wassalaam Alaika
Yaa Nabiyallah

Aswalaatu Wassalaam Alaika
Yaa Rasuulallah
Aswalaatu Wassalaam Alaika
Yaa Nabiyallah

Twakupenda kwa ajabu mtume wetu Jamir
Kwa hiari si kwa taabu wala hapana dhati
Sifa zako aghalabu wala hazina bandhi
Ewe matakwa moyo wangu nakwambia

Sijali matayo wala udhia
Mahaba niliyo nayo hayana pazia

Aswalaatu Wassalaam Alaika
Yaa Rasuulallah
Aswalaatu Wassalaam Alaika
Yaa Nabiyallah

Aswalaatu Wassalaam Alaika
Yaa Rasuulallah
Aswalaatu Wassalaam Alaika
Yaa Nabiyallah

Aswalaatu Wassalaam Alaika
Yaa Rasuulallah
Aswalaatu Wassalaam Alaika
Yaa Nabiyallah


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists