Slow Motion Lyrics
Seska-Slow Motion
Ati katoto kadance
slow motion
Aste, aste,
Ati katoto ,kadance slow motion
Twende mami basi pole
Pole pole
Pole pole
Songa tu, aste
Songa tu, aste
slow motion,
Unanimix concortion,
Nakupa deep promotion,
Mali clean paka lotion,
Alafu babe ,mi nataka uiname
Na usiulize aje ,
Namwaga guiness itakupea kitambi,
Basi twende aste,
Ati katoto kadance slow motion
Aste aste aste
Twende mami basi pole pole
Pole pole
Pole pole
Nimekuboa more,
Nakutoa more,
Nakutoa more ,
Nimepagawa,
siku hizi na ungati za cartoon
Paka punguzia maisha bakisha tatu
Kusini kuzama itika naipiga kavu
Kusimama machichi na malele pia hudai kuku
Kukung’am, kukudab tam tam
Kuuwa kukuturn na gidam kwa ku
Ma ikibad nakuthumb kwa ku
Chuchumaa kwachuma kwa kubalance tu
Ati katoto kadance slow motion
Aste aste aste aste
Ati katoto kadance slow motion
Aste aste aste aste
Twende mami basi pole pole
Pole pole
Pole pole
Pole pole
Pole pole
Kugonga kugonga vile mi hugonga
Vile mi hugonga nitakaacha jo na vidonda
Kugonga kugonga vile mi hugonga
Vile mi hugonga nitakaacha jo na vidonda
Sai uko, Nadai tusome Bible
I know, niko serious walai jo
Eey Yvonne mi si chizi mi psycho
Nina utoto ka zygot
Na mi ndo husukwa na mababe daily
Aki hakuna kitu naogopaga maybe deni
Hizi round za kifala hadi weekendi sipendi
Ka unadai kutekwa nyara we ni holla mbaby
Ati katoto kadance slow motion
Aste aste aste aste
Ati katoto kadance slow motion
Aste aste aste aste
Twende mami basi
Pole pole
Pole pole
No comments yet