Kondiko Lyrics
Seska- Kondiko
Anasema hanitrust labda nipige Sure
Mi hupenda kuidishi nikiwa kipure
Akianika hizo haga akiinua
Mkono kwa jegi zicheze kwa kifua
Ati mi sizami bila nyong’inyo
Zii sizami bila kondiko
Maquickie kehuti akitoka kijiko
Kufunika shimo ya sufuria na mwiko
Ati mi sizami bila nyong’inyo,
Zii sizami bila kondiko,
Maquickie kehuti akitoka kijiko,
Kufunika shimo ya sufuria na mwiko
Nyama kwa nyama ,ni tamu lakini
Ujue Ukimwi ni real, so amini
Magonjwa ya zinaa ,mtaa huwa mingi
Kondiko muhimu jikinge rafiki
Ata ka ni kutu usiingie hivi hivi,
Ata ka ni msupuu kavu usimtie,
Heri ungoje burden, hosi mpitie
Doc akidai mko safe mnaeza ingiana
Ananyesha nishajua ,nikitaka nitavua,
Tikitaka piga ua, Lisa sasa ni wa mashua
Safisha rada ju ishakuwa
Tukinyala figa pure
Nikihalla niko sure,
Atapull up atakuwa, akipulldown atavua
Sina nyong’inyo, sina vitu za kufanya nazo mastingo
Nirudi area, nikistepo na mambio
Hii ni kitu itakumada nipe maskio
Ati mi sizami bila nyong’inyo,
Zii sizami bila kondiko,
Maquickie, kehuti akitoka kijiko
Kufunika shimo ya sufuria na mwiko
Ati mi sizami bila nyong’inyo,
Zii sizami bila kondiko,
Maquickie kehuti akitoka kijiko,
Kufunika shimo ya sufuria na mwiko
Nina makondiko, huku penye niko,
Nina watoto mangoko, yaani penye niko,
Unacheza kama mito, kasee wa kwito
Ka ni chingri lazma ulewe,
Mzinga upewe nikuzungushe kama mwiko
Bila ndiko siwezi kupiga iyo mali,
Niko juu ya ching na, steam za makali
Msupa ni ngeus, ameiva kama ameiva ka asali
Majani kusanif kako, juu ya ngwai,
Leta haga na asikuwe na kisonono,
Ngeus ni mrembo, amebeba kama momo
Aaii na kameshika ,kikolombo
Ati nikabebe juu ya mgongo
Asikuwe tu ni wa highschool,
Asikuwe tu ni kimono,
Asikuwe tu ni kamono,
Ati mi sizami bila ,nyong’inyo
Zii sizami bila kondiko,
Maquickie kehuti akitoka kijiko,
Kufunika shimo ya sufuria na mwiko
Ati mi sizami ,bila nyong’inyo
Zii sizami bila kondiko,
Maquickie, kehuti akitoka kijiko
Kufunika shimo ya sufuria na mwiko,
No comments yet