Uwezi to do Lyrics
Sailors ft Ssaru-Uwezi To do
Uwuh Uwuh
Kujeni muone tumeteka stalio
Wa sugarloan
Hii si kamisi baika yoh
Hii ni vibrator tunawatetemesha
Brains zikimea kutu enda home mziki si wako
Kwa mziki si ndo otero enda tu chapia nyanyako
Na siwezi kuchapa ngumi izo ngumi nadishi bibi yako
Kipaji ni God kutupea tafta tafta tu ligi yako
Nasema ni Jah Jah
Tafta tafta tu ligi yako
Nasema ni Jah Jah
Tafta tafta tu ligi yako
Na hauwezi tu do (Yeah yeah)
Na hauwezi tu do (Yeah)
Hauwezi tu do (Yeah yeah)
Na auwezi tu do (Yeah)
Hauwezi tu do (Yeah )
Hauwezi tu do (Yeah)
Ah siaka tutakutoa kisiaka
Ah siaka tutakutoa kisiaka(×2)
Tafta tu ligi yako mi sijai kuwa class yako
Mistari nimebeba na carton
Ssaru anatesa unadhani ni vako
Cheki napata mapato alafu mungu akaniongeza matako
Chini niko na makwato mi nachafua alafu naroga na fashion
Kando niko na ka Passo shades nimedunga kwa macho
Kuja na mbogi ya kwako ju tunajua haujai kam peke yako
Kazi ni kuwapa dose ju tangu ijipe niko na mapose
Kwa keja niko na majos, na vile kameshika inabaki tudoz
Vile nilichorea balls already nacheki ata niko na goals
Si ata nataka mangeus ju siku hizi maniggas wanakata mahoes
Unateta unateta nini Unateta nini,
Unacheka unacheka nini? Gai unacheka nini
Mi Shaki mnyama ni bomb, mi ni kibomb
Na mbleina ikinibomb mi nitakibomb
Sijai type ka mrasta
Na sitai katia mapacha
Na sitawai kuwa gangsta
Kisng’aing’a uwache umama
Wangapi wanapenda umama(×4)
Nikapatana na dem kumbe ako kwa choo
Dem ako kwa choo, dem ako kwa choo
Kumbe ni mchina cheng cheng iyooo
Cheng cheng iyoo, cheng cheng iyoo
Na hauwezi tu do
Na hauwezi tu do
Hauwezi tu do
Na auwezi tu do
No comments yet