Kibao Kata Lyrics

Mr Blue ft Rosa Ree -Kibao kata lyrics

 

And this is for the ladies right now
The keys to the ladies
(DaXo Chali)

Picha la kutisha mali fullback
Hili party shisha hautii mguu fake
Watoto new age, A to Z
Kidume first class babe ni first lady

Utamu wa best bite nahisi kama kudedi
Mtoto yuko ready nnje na kwenye bedi
Ona amenipa punje nataka plate
Nami niko race macho yamekula shedi

Ukirusha maverse ni slim au shedi
Ujuzi na weledi, mbuzi hauelewi
Makuza haung’olewi
Mkuu sinogewi

Speed highway moja moja oneway
Nyama nyama lazima iliwe
Kitanda hakilali chenyewe kilaliwe
Chaguliwa nguo na baadae zivuliwe
Zikaguliwe zitumiwe alafu zikafuliwe

Raha za Mombasa, ulinzi mambo sasa
Mapishi ya kisasa, Mbishi nimenasa
Mi si leo nakukiss nakupapasa
Raha uje tabata uone bars zinavyojaza
Bata, bars tamu haswa
Ukikamatwa Boko haram haswaa

Haya sasa jirani nakuasa
Ukiharibu ndani ni vitasa
Mbwembwe Fally Ipupa, Congo Kinshasa
Uno bila mfupa, RayC Ufaransa

Mr KandaBongoman, Mr Kwasakwasa
Sorry hunnie nipe kimoja cha fasta fasta
“Toa shaka we kaka una haraka”
Uh nipe baadae sindio

Moyo unakwenda mbio, muda unakwenda mbio
Tingisha kalio, nazidisha salio
Izungushe kama unazungusha migandio
Nivuruge unachosema mi niseme ndio

Kivuruge wakisema nizibe masikio


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists