Nitakuhimidi Lyrics
Nitakuhimidi kila wakati sifa zako
Zi kinywani mwangu daima
Nafsi yangu itakusifu wanyenyekevu wasikie
Mtukuzeni Bwana pamoja nami
Nitakuhimidi kila wakati sifa zako
Zi kinywani mwangu daima
Nafsi yangu itakusifu wanyenyekevu wasikie
Mtukuzeni Bwana pamoja nami
Nilimtafuta Bwana akanijibu
Akaniponya na hofu zangu zote
Akaniokoa na taabu zangu zote
Nikamwelekea macho yangu yakatiwa nuru

Mateso yake mwenye haki ni mengi sana
Lakini Bwana humponya hofu zake zote
Huihifadhi mifupa yake yote
Haukuvunjika hata mmoja Bwana asifiwe

No comments yet