Sleki Lyrics

Reckless-Sleki

Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke

Usinitaje form
Kama hubongi story ya doo

Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke

Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke
Usintaje fom
Kama hubongi story ya doo

One, Two,
Ka we ni hater unajifanya cheki fuck you
Ju ukiniuliza mbona sipendi ,kukaa na watu
Ma hypocrite staki stori,
Mi hutembeaga sana saa za curfew

King kwa game, na ishi one man kwa palace
Ukidai fame ,hakikisha wana kuhitaji kwa market,
Ju ka una jina na hauna kitu,
Umejichocha kwa ,gram we ni star
Ndani ya mat uki sororwa unaona aibu ah

Hii keki ni kubwa nadai yote sta gawa,
Eh mi ni mchoyo buda pia ukitaka weka lawama,
Wapi ma flower ju ,hizi kaburi zinakaa mbaya,
Mi ndo the baddest ,motherfucker
Hawa marapper wanagwaya

Ah come slow, mbona una pupa
Mbona una cum ,mbio na manzi yako anakaa ka chura
Buda shika skio na uwache ,
kujifanya unajua,
Ambia baby akam karibu na ajifanye anafua

Aya lovie dovie yo, mi ni a man di galis,
Hapa hatuoni soap tucheki mangwati
Bae ka unadai form mi ndo unitafute
Ju kawaida sijali ata ukuje ugeuka

Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke

Sleki sleki bro
Usintaje form
Kama hubongi story ya doo

Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke
Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke

Sleki sleki bro
Sleki unaeza dedi broke
Usintaje form
Kama hubongi story ya doo

Sleki sleki unaeza bakishwa na cops,
Sleki unaeza badilishwa ukue corpse
Sleki gizani upatwe na mse ako jobs
Utokwe tenhe na ma ndenge upewe crocs

Cheki cheki sielewi ka aihusu doh
Cheki ka si ganji manze siku cheki call
Ati tangu niomoke manze sijai pitia baze
Bro after ni omoke ndio mlianza kuniita baze

Saka biz, saka biz, saka biz uache guil
Follow dreams, follow deams
Follow dreams acha kufollow Shakilla
Ssaru nayo ana geuka stripper ju ya views
Nka aliambiwa ndio aomoke laizima tuo


Related Lyrics

Added by

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists