Woza Lyrics
Rayvanny ft Diamond platnumz-Woza
Haibooo
Twende, twende, twende
Twende Twende (Woza)
Twende Twende (Woza)
Twende woza
Eeeeh aiyayayayaya
Kisigino
Kisigino
Gusa kisigino
Twende shuka shuka, shukaaa!(×2)
Be bega (Haiboo), Be bega (Haiboo)
Be, twende moja mbili tatu
Be bega, Be bega
Be, twende moja mbili tatu
Nimelewa (Nimelewa)
Nimekunywa (Nimekunywa)
Nikitongoza dem wa mtu
Sio mimi ni pombe
Nimelewa (Nimelewa)
Nimekunywa (Nimekunywa)
Nikivua nguo sio mimi
Jamani ni pombe
Ning’ining’ia
Ning’ining’ia
Ning’ining’ia
Kama ukidondoka mi simo(×2)
Mai maiko, Mai maiko
Mai maiko, wee wee wee!
Mai maiko, Mai maiko (Jambo)
Mai maiko, wee wee wee!
Dada una shepu matata
Tikisa tuone hio
Weze weze matata
Chezesha tuone hio
Dada una shepu matata
Tikisa tuone hio
Zigo zigo matata
Chezesha tuone hio
Chop chop chop
Chop chop chop chop
Chop chop chop
Chop chop chop chop
Nimelewa (Nimelewa)
Nimekunywa (Nimekunywa)
Nikikucheat usinune
Sio mimi ni pombe
Nimelewa Nimelewa
Nimekunywa Nimekunywa
Nikidondoka niokote
Sio mimi ni pombe
Jeru Left Haiboo
Jeru Right Haiboo
Jeru back Je Jerusalema
Jeru Left Jeru Right
Jeru back, Je Jerusalema(×2)
No comments yet