Rada Lyrics

Rada-Guardian Angel

Ulivyo leo
hio ni ya leo,
Huenda kesho
iyo rada ibadilike,

Watakusema sema sana,
We kazana usichoke kupambana,
Yote ukimuamini Mola,
Story yako itabadilika,

Walinisema hivo,
Ona sasa, story yangu imebadilika
Aliyefanya hivo hivo hivo kwangu mimi
Kwako pia atabadilisha,

Ulivyo leo,
Huenda kesho iyo rada ibadilike
Matatizo ulo nayo,
Hizo shida ulo nazo,
Huenda kesho
iyo rada ibadilike

Rada ibadilike
Rada ibadilike
Huenda kesho iyo rada ibadilike

Ulivyo leo
Huenda kesho iyo rada ibadilike eeh
Ulivyo leo, hiyo ni ya leo
Huenda kesho iyo rada ibadilike eeh


Related Lyrics

Added by

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists