Uwapende sana Lyrics
Ondoa mashaka eeh, leo sio juzi
It doesn’t matter yaaya yaya
Kikubwa pumzi, keep moving
It doesn’t matter yaaya yaya
Unachotaka usisahau ukikipata
Ukipata usisahau kuna o
Kumbuka ni Mungu juu ya vyote
Tazama juu, utaiona nuru
Baba God, Baba God, Baba God
Baba God Jerusalema
Yayayayaya, nawapenda sana wee
Nawapenda sana wee, yayayayaya
Yayayayaya, nawapenda sana wee
Nawapenda sana wee, yayayayaya
Mpatie chumvi jirani
Usisubiri shukurani
Usiwe kikisirani
Ukayaweka moyoni kifuani
Cha mwengine usitamani
Hatuwezi kufanana
Ndivyo ilivyo duniani
Jitihada tafuta utapata
Unachotaka usisahau ukikipata
Ukipata usisahau kuna o
Kumbuka ni Mungu juu ya vyote
Tazama juu, utaiona nuru
Baba God, Baba God, Baba God
Baba God Jerusalema
Yayayayaya, nawapenda sana wee
Nawapenda sana wee, yayayayaya
Yayayayaya, nawapenda sana wee
Nawapenda sana wee, yayayayaya
Yayayayaya, nawapenda sana wee
Nawapenda sana wee, yayayayaya
No comments yet