Malaika Lyrics
Situation changed my life
Nimejitolea kukupenda
Mi ndo mwezi mi ndo jua eeh
Ukiondoka nitaumia eeh
Love eeh nakupenda
Ukiondoka nitaumia
Lovie eeh nakupenda
Unanifanya niponage
Maradhi yangu niponage
Unanifanya niponage
Maradhi yangu niponage
Ngozi yangu mafuta
Ya mwili wangu
Pumzi yako ikikata
Inafuata yangu
We ni malaika
Dunia yako tafuta
Kwangu umeshafika
Tuliza nafsi beiby
(Fraga got the recipe)
Umeniguza sigino
Umenyesha mivinyo sijielewi
Na kwako nimechizika
Sina mkono wa birika, kwako wee
Na ningependa nikurumagie
Nishibe nidondoke tapa tapa
Sogea karibu nikukumbatie
Wazungu washapiga starter
Penzi letu bahari
Sio pesa na gari
Kwenye ulimwengu wa shari
Penzi letu ni ghali iyee
Nisave kwenye moyo beiby
Usinisave kwenye simu beiby
Unanifanya niponage
Maradhi yangu niponage
Unanifanya niponage
Maradhi yangu niponage
Ngozi yangu mafuta
Ya mwili wangu
Pumzi yako ikikata
Inafuata yangu
We ni malaika
Dunia yako tafuta
Kwangu umeshafika
Tuliza nafsi beiby
Iyee iyee, tuliza tuliza
Iyee iyee, Iyee iyee
No comments yet