Majeraha Lyrics

Platform Majeraha Lyrics

Majeraba cover image by Platform

Mi wangu kilema nachechema
Na Moyo umejawa ganzi
Sina mengi ya Kusema Ni wapi Nishikilie
Ashanipiga Calenda
Nalipa Foleni na Moyo wako

Ni wapi Nishikilie
Mapenzi yanatesa usikie
Mapenzi yanatesa Uniambie kwa Kulalama
Mi na kuona mwenzangu Hakuna Shida
Kulalama kuwa Kawaida mi na Konda
Mwenzangu Hana Shida

Na ukimwona Mwambie
Na Ukimwona Mwambie
Leo mimi ndiye Yule wa Leo na Kesho
Waambie Nakupenda

Na Ukimwona Mwambie majeraha
Yanaumiza Na Ukimwona Mwambie majeraha yanaumiza
Mimi niye Yule wa Jana na Kesho
Majeraha yanaumiza

Mwambie majeraha yauguza
Alishanigandana kaa Sumaku
Abaki na Sowezi na zua
Niliposhonga yalitatua
Mapenzi yanatesa usikie

Mapenzi yanatesa usikie
Kwako Kulalama ilikua kawaida
Mi nakuona mwenzangu Naye Hana Shida
Kulalama ilikua kawaida
Mi nakuona mwenzangu Naye Hana Shida

We Mwambie majeraha yauguza
Majeraha yauguza
Mimi Yule wa Leo na Kesho
Majeraha yauguza

Zake majeraha yauguza


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists