Chuki Lyrics

Dalili ya mvua mawingu
Nama penzi ni vita
Ndo nikwambie
Nilisha piga na tunguli
Kusaka amani ya penzi langu ilaa
Haikupatikana najua
Ulini visha na kilemba cha ukoka nikiamini ni kata
Na unatambua
Haya mapenzi ni vita mazima
Ukakata na shina

Sitaki kuamini mapenzi upofu
Mana kwingine nta penda
Na japo na moyo uliupa makovu
Hadi na nuri ikazima
Sitaki kuamini mapenzi upofu
Mana kwingine nta penda
Iyee hehehe
Japo ulinipa makovu Wow

Chuki iiiih, chuki iih
Chuki iiih, Chuki iih
Yeah yeah yeah yeah

Nime yanawa kwa viganja vyangu viwili
Yote sawa
Siwezi ng’ang’ana na pendo ooho wowo
Unione chawa
Mapenzi pipi wana share
Skuizi akuna tena kupendana
Na hata ukikaza utalegeza
Mwisho wa siku mtabwagana

Sitaki kuamini mapenzi upofu
Mana kwingine nta penda
Na japo na moyo uliupa makovu
Hadi na nuri ikazima
Sitaki kuamini mapenzi upofu
Mana kwingine nta penda
Iyee hehehe
Japo ulinipa makovu Wow

Chuki ( Kwakunidanganya wanipenda sana moyo ukaujenga)
Chuki (ukazichanganya, hasi ikawa chanya moyo u ukaujenga)
Chuki ( Ulo nifanya niyachukie na mapenzi ni wewe
Chuki (oooh weeeh)
Ati wanipenda sana
Nipenda sana

Yeah yeah yeah yeah

New Lyrics


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists