Otile Brown ft Harmonize – Woman Lyrics

Aisha, Aisha, Aisha

Mzuri kama kachoro body kakupa mola
I’m like my oh my
Macho yake yanavyong’aa
Just like a candle light
Lips zake zilivyolowa akizing’ata like my oh my
Ngozi yake inavyometameta kama shimaa
Hivi we unadhani, nakutamania
Nilipoitrace zaidi ya vile, navyodhania
Can I be your company
Nina machache ya kukuambia, wo ouh woo

Cuz I need you in my life
I’m tryna find me a wife
And you look just like a type
You look like just my type
I swear this love is first try
Cuz you are such a beautiful woman
Woman, woman, woman
Could you be my one and only woman
Woman, woman, Aisha

Aisha, parampara papare
Aisha, parampara papare
Aisha, parampara papare
Aisha, parampara papare
Aisha, parampara papare
Aisha, parampara papare
Aisha, parampara papare

Mzuri kama kachora kiuno kama dondora
I’m like my oh my
Na hivyo vimacho vyake ka golori anavyovirembua
Her body shape like a cola
I go spend all my dollar
I’m tryna make you mine
Na hizo pozi zake ka mdoli anavyojishaua
Nishajaribu kupapasa
Dar es Salaama, Nairobi hadi Mombasa
Sijamwona mpaka sasa
Wa kufanana huo mshaope sasa
Maneno manung’uno na chuki
Eti mara kiuno amechongesha Uturuki
Huwajibu hukurupuki
Penzi lako ni asali na mi ndo nyuki
Kelele zao za chura hazininyi tembo kunywa maji
Watasema mchana na usiku watalala
Umebarikiwa sura kwenye shindano la warembo
Acha nikupe taji
Kwanza bado kijana kifuani hapajalala

Cuz you are such a beautiful woman
Woman, woman, woman
Could you be my one and only woman
Woman, woman, mwenzako Aisha
Aisha, parampara papare
Aisha, parampara papare
Aisha, parampara papare
Aisha, parampara papare


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published.

Search Artists