Leilah Lyrics

Otile Brown feat Kidum – Leilah Lyrics

otile brown PHOTOAnaitaka hapati
Alijaliwa kidhamini
Yeiyei yeiyee mmmh

Hakika mwana akipenda kweli
Atapigana vita vingi
Aibu sio penzi

Hivyo unampendea nini
Wakati kila kutwa anakuliza
Unang’ang’ania nini
Ni zaidi ya heri sivuti

Wanaume wengi ni kama –
Hawamaanishi wasemacho
Ni waongo hawafai

If I was your lover
Ningedhamini penzi lako
Style bora
Mwanamke anahitaji matunzo

Leila, Leila
Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo
Leila, Leila
Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo

Changu chako, chako changu mi nawe
Na wewe
Tena niacha utoto, kutwa kucha machangu
Nikuoe

Nitakuwa shujaa wako mama
Nitaliwaza mama
Nitakufariji mama
Ukinihitaji mama, nipigie simu yangu

Nitakuwa shujaa wako mama
Nitaliwaza mama
Nitakufariji mama
Nipigie simu yangu

If I was your lover
Ningedhamini penzi lako
Style bora
Mwanamke anahitaji matunzo

Leila, Leila
Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo
Leila, Leila
Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo

If I was with you Leila
If I was with you Leila
If I was with you Leila
If I was with you Leila

Ningekupenda ipasavyo my beiby


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists