Plus One Lyrics

Octoppizo-Plus One

Daily zangu ni kuchana,
Mbuzi na shamba woud Ohanga,
Ugali na kijiko bana,
Tuko cha mbele acha ushamba

Siwezi lala, bila mawe
Shasha mani, ni dimanga
Panda border, ya Tanzania
Superduper mi Namanga

Zile kuku zilitanga,
Warrior nikishika panga,
Mi ni warrior bila shaka,
Kabla dishi toa sala,

Penda veggie ,shika salada
After sapa chapa, shower
Kaba waba then, nalala
Ukilamba mi ,nalabwa

Nikitema, wanalazwa
Unahate buda kazwa,
Haswa umelate we ndo last one standing
Mi ndio last man,
Pale bedroom kuna plus one
Pale bedroom kuna plus one,
Ligega ligega,
Sega sega sega yeah
Kibera namba nane

Morning glory cheki sunrise
Jungle Fever hii ni surprise
Mlami penda huyu black man
Ju pale bedroom kuna plus one, plus one
Pale bedroom kuna plus one, plus one


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists