Kibanda Lyrics

Octopizzo-Kibanda

Kangeta taxin bana niko handis,
Nane ngori pizzo man a badman,
Zima moshi rada za Nacada,
Mary Jane pass it napenda huyo dada

Mary Jane ,napenda wewe sana
Nipate pale, java niko jaba
Chini hauwezi simama, kata waba
We ni art si basi msupa ,si chora saba

Pika soap nikicheki, dabass
Campus we ndo ,nangoja
Pizzo De king and you
You know it,

Ngati ni ngola Tanasha Donna,
Pizzo ni Don man, chorea conman
Toka Dodoma ,ati Dangote
Nabonya wote usiogope

Breko zangu zote, kwa kibanda
Ma-time lunch pia kwa kibanda
Bachelor sapa kwa ,kibanda
Wasupa daily wote kwa street nawahanda

Breko zangu zote kwa kibanda
Ma-time lunch pia kwa kibanda
Bachelor sapa

Sema bags ,when I stack up
Msupa ameback up
Najua hamjui mi hujua hizi vitu

Now tell me who,
Want to come with the realest,
Ready and ,not so we gon play
And if you really wanna know how we do this thing,
let me tell you one time

Leta sima, leta nyama
Leta mboga one time
Alafu sasa jaza supu niwaoshe one time
Jina yangu usitaje ukidai kuja, jakes

Rada rada za kifala, sema kweli mi sijui
Kama doshi iko poa basi jua sibagui
Na warembo hatujui ,wamefunga buibui
Hapa kazi nimefunga ,ni kukula kama chui kang kang,

Breko zangu zote kwa kibanda,
Ma-time lunch pia kwa kibanda,
Bachelor sapa kwa kibanda,
Wasupa daily wote kwa street nawahanda

Breko zangu zote, kwa kibanda
Ma-time lunch, pia kwa kibanda
Bachelor sapa kwa kibanda
Wasupa daily wote kwa street nawahanda,

Mi hupiga biz ka ni sure,
Niko juu ya maji ka mashua,
Ka ni shada mi hunyanyaga na mapure,
Mi ni mkali zaidi ya pili hadi khalisi ananijua

No crack pay napiga stiki,
Ikus si tamu ka haiwiki,
Huski kajaba si kambere ka hakashiki,
Nipate juu ya kandovu kejani harufu

Attractive inavutia mamatha,
Ngoma huskii ni mbaya Kili mums utaipata,
Zzero man a bad man shatta
Doshi imewachizisha na yangu chuma


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists