Tamaa Lyrics
Octopizzo-Tamaa
8 Town,
Pizzo Deh you know it,
Nilianza ,enzi za ukoo
Lakini bado leo, huski bado nang’aa
Mother alihustle ,sana shule nilimada
Na tulipata kwa ,chang’aa
Nikiamka mi ,hushtuka sana
Kwani kuliendaje ,ndo tukafika hapa
Tulisota tukasota sana,
But sikuwahi give ,up nashukuru Jah Jah
Kuchangisha, nilichangisha mama
Nakumbuka pesa zako zile zote za chama
Walikula ,kila siku nyama
Si pale kando ,ni mate tamaa (Njaa njaa..)
Mama natamba ,
Nawish ungeona venye ,siku hizi nang’aa
Tamaa niliacha,
Nakula nyama zote zenye nafaa
Mama natamba ,
Nawish ungeona, venye siku hizi nang’aa
Tamaa niliacha,
Nakula nyama zote zenye nafaa
Mbaby nasema mbaby
Mbaby, anadai
Na mtoto akililia wembe
Atawai,
Nasema mbaby, anadai
Na mtoto akililia wembe
Atawai atawai
Walai mangwai,
Siezi lie daily niko high,
Sijawai sitawai,
Kuchochwa ,hapa kule na hype
Napaa nang’a,
Pewa moshi daily shada,
Nashangaa ,mama
Nawish ungekuwa asapa
Ma Gucci na Prada,
Ungevaa kila kitu nataka
Pamba za white,
Kabla ukae chini wanawide,
Mama natamba
Nawish ungeona venye siku hizi nang’aa
Tamaa niliacha
Nakula nyama zote zenye nafaa
Mama mama,
This is dedicated to all of you,
That got successful too late,
We got successful too late mama
8 Town the Don
Mama nang’aa ,
Nawish ungekuwa hapa
Mama nanga,
Nawish ungekuwa asapa.
No comments yet