Ringa Lyrics

Octopizzo-Ringa

My phone ringing am like hey mummy
On the side uncles are hey pappi
It’s Chullo papi aka Pizzo De

Oh daddy,
Yo baddie,
Am going in ako za more zaddie,
She dripping ,wey flow zetu muddy

I’ts going down in the dm,
We listening to Yo gotti,
I stay low ain’t, playing with nobody
My girl from Spain hey papi chulo,
Door open no chaplin,
Anahema no camping,

Dirisha zote nimetinga,
Hapa ni stori na mark no windows,
Acha rap hii wimbo,
Sheng ngoso bi-lingual,
Drip loso cheki hii nguo chini
Hii ni SeaSaw finje finje bado si soo

Napenda venye unaringa,
Nichekeshe nichekeshe
Kwanza ,ukipandisha rinda
Nichekeshe nichekeshe,

Napenda venye unaringa,
Nichekeshe nichekeshe,
Kila siku za kuwinda,
Nichekeshe nichekeshe,

kila siku,
Napenda penda penda,
Napenda penda penda
Vile unaringa

I like the way, you hypnotise me
Lips zetu syncronising,
Skinny dipping tuko maji,
Haga fiti kama model wa ig

Kujia cable mi ni it,
Make sure umekam na I’d,
Drip ni kama natembea na Ivy,
Ka unanyesha msupa we ni Ivy

Baridi mingi shika icing,
Saba saba ,niko lining
Sana sana ,niko riding
Mwaga ndani buda buda tuko piping,

Cheza safe ka ni side chic
Afternoon hii ni Pm,
Ex wako on my Dm,
Switching sides ako hii lane

Napenda venye unaringa
Nichekeshe nichekeshe
Kwanza ukipandisha rinda
Nichekeshe nichekeshe

Napenda venye unaringa
Nichekeshe nichekeshe
Kila siku za kuwinda
Nichekeshe nichekeshe

Kila siku, kila siku
Napenda penda penda
Napenda penda penda
Vile unaringa

I’ts eight town Rnb papi on this one
I’m Mayweather with the drip bro
Suede zangu zote punchline

You Mayweather with the body flow
Flow moja toka timeline
Nageuza flow, nageuza doh
Nageuza Doh, picha safi ita Buo

Napenda venye unaringa


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists