Nataka Lyrics
Octoppizo-Nataka
Mmmh ah,
Msupa nataka,
Mmmh ah,
Na nikipata,
Mmmh ah,
Najua nitawasha
Soma label ,hii barua pepe
Ile kitu ndo nataka babe,
Mboga safi nimebeba, sembe
Hii harusi ,chanda shika pete
Wedding wedding,
Msupa charge niko ever ready,
And I jazz nikiona pedi,
What’s my name mi hapana Sheddy
Kuja shower ,na ubebe kiti
Pizzo de ,baby seti fiti
It’s a match ,kila kitu fiti
Tinder,
Nawawinda ,
Shida shida shida
Hadi sasa baby sina
Mmmh ah
Msupa nataka
Mmmh ah
Najua nitapata
Mmmh ah,
Na nikipata ,
Mmmh ah,
Najua nitawasha
Bila shida nimeshika,
Hio figa ndo nawinda
Nikiipata nitaifinya
Ukiikaza utanisinya
Eey Pizzo, de king and you
Make you a, queen and my baby blue
Make you the mama, of my babies too
We ukiwa mali my baby is you
Ooh baby what ,you do baby
Ooh baby jungle, fever panda miti baby
Ooh bastaa ingiza ndani mi ndo boo baby
Ooh gangsta ndo, utawika nikiwa juu baby
Zimmerman simsima man,
Umenichoma si sima man,
Nikisimama nikisuu mama,
Nai yote na Chidima man,
Thitima man zima lights
Mh ah
Msupa nataka
Mh ah
Najua nitapata
No comments yet