Maselina Lyrics
Octopizzo-Maselina
Maselina niko na, shule huko kwetu
Maselina niko na pesa nyingi sana,
Maselina niko na ,suti nyingi sana
Ninaishi kule Dubai, kesho narudi Paris
Nikisema niko maji ,Pizzo the fish
Weza cheza na float,
Nikisema niko ganji ,mbuzi nacross
Buda praise the goat,
Praise the don Pizzo kwa doo,
Nipate Lambo nimechill kwa boat,
Ambia shabik ,rada ni happy
Kuna deal,
Zangu ni nappy ju,matha ana ganji
Na ikidunga ana pin,
So ka hunikanji chezanga mbali
Na ufungange lips
Windows up on a whip,
Windows up on a jeep,
Fela Kuti in ,my dreams
But Les Wanyika ,ndo my kings
Maselina niko ,na shule huko kwetu
Maselina niko na ,pesa nyingi sana
Maselina niko na ,suti nyingi sana
Ninaishi kule, Dubai kesho narudi Paris
Kwa hizo chocha, hamnipati
Sipendi hype but, daily na syke
Niko ocha machapati, ndengu kwa side
Live yangu mtaani, yako kwa site
Unaongoja malikes,
Niko njaa na sahani, kwa mama Oliech
Nikingojaga Rech,
Drips zangu zangu, za zamani
Bado ni wet soul ni maji nafetch,
King David when I sling,
Making money in my sleep,
Bitcoin no ,receipts
Silicon Valley rift,
Aircon nikidrift,
Wakistare panda lift,
Maselina niko na, shule huko kwetu
Maselina niko na, pesa nyingi sana
Maselina niko na suti nyingi sana
Ninaishi kule Dubai kesho narudi Paris
No comments yet