Karatasi Lyrics

Octoppizo-Karatasi

Kabla upate job wanadai karatasi,
Contacts zangu zote, pia ni za karatasi
Doh yenyewe nikipata
ni ya karatasi
Toilet paper pale choo,
pia ni ya karatasi,

Murder scene, Hiroshima Nagasaki
Stage ukiniona nikipiga show karatasi
Ceo kwa Office karatasi,
Chokora pale street daily pia karatasi

Buda acha karatasi,
Ndo natoka, Embakasi
Rada saka karatasi,
Siezi kosa karatasi

Mula imetubrain wash, kila kitu paper work
Wengi wetu tuna experience lakini bila paper luck,
Bonga mbaya pigwa stapler paper punch
Na mtaani huwezi mshow sawa na chipo mwitu paper lunch,

Mashit bin flices era za paper bag,
Usitoke daro kabla
hujamaliza hizo paper man,
Professor aka Mr Ohanga ,huwezi graduate kwa hii class
Kabla hujajaza hizo paper son

Kijana wacha wasiwasi,
Hapa sio sarakasi ,
Wanataka karatasi ,
Siwezi kosa karatasi.


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists