Jaber Lyrics

Octoppizo-Jaber

Nabaki na taki wangapi wasafi
Mafisi walafi yeah ,
Ufala sitaki hapa, niko kazi
Na rada ni ,safi bruh

Kazana basi ,geuza mavazi
Looku ni rasmi girl,
Diriba si vadi unaniita dzaddy,
Baby touch me now,

Steam zimepanda, nionyeshe kitanda
Baby and fck me now,
Ukimanga kibanda, na proski wakanda
Bonga na panther bro,

Suti, piga pasi
Uber ita Taxi,
Rhumba tuko dancing,
Lugha, niko pasti
Zima hizi masti,
Cheki fiti niko ndani
Harusi ni harusi
Mapenzi sio matusi

Be my wifey niwe huzy
Be my wifey Jaber niwe huzy

Baba yao, baba yao
Baba mama wako zao,
Mi na boy, wapendanao

Tangu juzi hauniguzi,
Dye Gucci, dye coochie

Design we hutunga,
Design mi hudunga ,designers
Design nitakusuka design we hushuka
Ni fine ass,

Hips juu chini thighland,
Lips true hii ni lifetime
WIFI mi ni cyber,
Wife fight nakulove don,

Be my wifey niwe huzy
Be my wifey Jaber niwe huzy

Pete, pete pete pete pete
Vela seti seti seti seti

Tangazo hii ni habari
Hoteli za kifahari,
Ni kote niko banjari,
Iliki nina mandhari,
Taxin niko jaba,
Washatii niko Java,

Be my wifey, niwe huzzy
Be my wifey, Jaber niwe huzzy Jaber


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists