Dungu Lyrics

Octopizzo-Dungu

Eyoo cha usiku,
Eh ongeza mchicha
kwa viazi zangu bana

Dungu dungu kweya,
Peleka aende kwao,
Dungu dungu kweya,
Peleka aende kwao,

Dungu dungu kweya,
Peleka aende kwao,
Dungu dungu kweya,
Peleka, aende kwao

Eey cheki, lanes niko focused
Ukitense pigwa, tisa mijikenda
Gang gang tinga, lock ukitoka
Washatii na bado, sijatema tepa

Taxin nikicock, unaokoka
Nilituma pi ,nguruwe zikahepa
Mekatilili nikibonga,
Master I got the keys ,takes notes man

Culture ka si ,roots nipe doba
Rasta ka si nduks ,nipe gomba
Duster ka ni drip, shika moper
Drinks zii sipendi ,maji nipe chopper

Sober ndio urade ,hizi 4 bars
Mlevi anadhani ,ninabonga juu ya four bars
Zima ka ya Nicki ,si waliskiza hook
Idd aziz, wape chorus,

Dungu dungu kweya,
Peleka aende kwao,
Dungu dungu kweya,
Peleka ,aende kwao

Dungu dungu kweya,
Peleka aende kwao,
Dungu dungu kweya,
Peleka ,aende kwao

Dungu alinipea ,itabidi nimeenda kwao
Nduru akipokea ,Mduruma wangu
Hataki nitoke kwao

On air si, hupara chuu
Alibaba hebu leta, hizo karafuu
Sidai fridge nina barafuu,
Nina gang Kongowea sio bara tu

Nina dem wa kidigo chonyi na ribe kambe
giriama tu,
Fake love kwa machozi ya kitungu,
Cheki balance, si hubounce ka Kiburu,

River Nile mijikenda,
Na ka haujui kenda, inamaanisha 9 tribes wewe,
Na ya bingi nikitema,
Huskii hii doba inanipatia ,cloud 9 vibes

Zima nare nikisema,
Namba nane kejani niko, na nine wives
Usilale ni mapema
Na ka zimeshika buda basi nipe hio high five

Dungu dungu kweya,
Peleka aende kwao,
Dungu dungu kweya,
Peleka aende kwao,

Dungu kweya,
Peleka aende kwao,
Dungu dungu kweya,
Peleka aende kwao,

ohanga kidi,
Ohanga kidi ohanga kidi
Jowie, Jowie


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists